Jumanne, 28 Agosti 2018

Museveni kuunda tume ya mpya ya uchaguzi


Kampala, Uganda. 
Rais Yoweri Museveni ameapa kuivunja Tume ya Uchaguzi iliyopo sasa akidai inakula rushwa na kwamba ataunda mpya ikiwa na makada kutoka chama chake cha NRM. “Tume ya Uchaguzi imejaa watu waliooza,” shirika la utangazaji la NTV lilimnukuu Rais Museveni akiwaambia wanawake katika kongamano lililofanyika Jumapili. 

“Nitawaondoa (EC). Kwa nini tusumbuliwe na maofisa wala rushwa wa tume ya uchaguzi wakati NRM ina nguvu kazi ya kutosha? Lazima waondolewe. Watoke,” alisema katika kongamano la Baraza la Taifa la Wanawake. 


Hata hivyo, katika taarifa rasmi iliyotolewa Jumapili jioni, Ikulu haikueleza chochote kuhusu tishio la Museveni kuivunja EC. 
Taarifa hiyo ilimnukuu Rais akiwaambia viongozi wa wanawake kuinua elimu na uwezeshaji kiuchumi. Onyo la Museveni limekuja siku chache baada ya NRM kuangushwa katika uchaguzi mdogo wa ubunge katika Manispaa ya Arua uliofanyika Agosti 15 ambapo upinzani ulishinda licha ya yeye mwenyewe kuweka kambi kumnadi mgombea wake wa chama Nusura Tiperu. 
Chaguzi ndogo Machi, Paul Mwiru wa chama cha upinzani cha Forum for Democratic Change (FDC) alimshinda Nathan Nabeta wa NRM katika jimbo la Jinja Mashariki. Juni, mgombea wa NRM Winfred Masiko aliangushwa na Betty Muzanira wa FDC katika mbio za kuwania kiti cha wanawake wilaya ya Rukungiri. 
Julai, Asuman Basalirwa kutoka chama cha Jeema, alishinda kiti cha Manispaa ya Bugiri baada ya kuwaangusha wapinzani wake akiwemo Francis Oketcho wa NRM. Akizungumzia sababu za chama chake kushindwa katika chaguzi hizo, Museveni alisema NRM ilipoteza Jinja Mashariki kwa sababu inadaiwa upinzani ulisafirisha wapigakura kutoka nje ili wampigie Mwiru.

Jumatatu, 27 Agosti 2018

Jumamosi, 19 Mei 2018

Kikosi cha simba kitakacho cheza na Kagera sugar

Tokeo la picha la kikosi cha simba 2018


Kikosi cha Simba kitakachoanza dhidi ya Kagera Sugar, mechi ya Ligi Kuu Bara
1. Said Mohamed
2. Nicholas Gyan
3. Mohamed Hussein
4. James Kotei
5. Paul Bukaba
6. Erasto Nyoni
7. Shomary Kapombe
8. Jonas Mkude
9. John Bocco
10. Emmanuel Okwi
11. Shiza Kichuya

Kikosi cha akiba
12. Ally Salim
13. Salim Mbonde
14. Kelvin Faru
15. Mzamiru Yassin
16. Said Ndemla
17. Rashid Juma
18. Moses Kitandu

Jumanne, 15 Mei 2018

Kenya yafanya maamuzi mazito kuhusu ugawaji wa Mali zaa Familia

Mahakama nchini Kenya imetoa uamuzi muhimu kuhusu ugawaji wa mali katika familia wakati kunapokuwa na talaka.

Kumekuwa na mjadala mkubwa nchini ikiwemo pia katika mitandao ya kijamii wakati uamuzi huo umepitishwa huku kukiwa na visa vingi vya watu mashuhuri kutalikiana.

Katika uamuzi unaoonekana na wengi kama pigo kwa haki za wanawake nchini Kenya, Jaji wa mahakama kuu John Mativo amepinga wanandoa kugawana mali nusu kwa nusu wanapo achana kwa talaka.

Jaji Mativo amesema, wanandoa wanapoachana wana haki ya kuchukua kile walichochangia tu kifedha katika ndoa hiyo

Umauzi huo unaambatana na sheria ya ndoa nchini ambayo shirikisho la mawakili wanawake Kenya FIDA lmekuwa likifanya kampeni ifutiliwe mbali.

Kundi hilo linalotetea haki za usawa wa kijinsia limelalamika kuwa sheria hiyo inawanyanyasa wanawake, likidai kuwa kwa mara nyingi wanawake ndio hubeba mzigo mzito wa kulea watoto wakati talaka zinapopita.

Lakini jaji huyo leo itakuwa sio haki mtu kupata zaidi ya walichochangia wakati ndoa inapovunjika.

Kesi hiyo imefuatiliwa kwa makini na Wakenya wengi walioelezea hisia zao kupitia mitandao ya kijamii.

Mahakama imesema iwapo itaruhusu ombi hilo la FIDA, itatoa mwanya kuruhusu wanaoatafuta kujitajirisha kuingia katika ndoa kwa lengo la kujinufaisha.

Jaji amesema sheria haiwanyanyasi wanawake kwasababu umauzi huu pia utakuwa na manufaa na kuwalinda wale wanaofanya kazi kwa bidii na kuunda mali ya familia


Tuchel kocha mpya wa timu ya Ufaransa PSG

Thomas Tuchel, kocha wa zamani wa timu ya soka ya Ujerumani Borussia Dortmund atakuwa kocha mpya wa timu ya Ufaransa ya Paris Saint-Germany


Ni kazi ya kwanza nje ya Ujerumani kwa Tuchel mwenye umri wa miaka 44, ambae alipata mafanikio mazuri kwa misimu kadhaa akiwa timu ya Mainz kabla ya kumpokea Jürgen Klopp kama kocha wa Dortmund. Tuchel alilazimika kuacha kucheza soka mnamo mwaka 1998 baada ya kupata jeraha la mguu wakati akiichezea timu ya Ulm.

Kikosi vilivyotangazwa kucheza kombe la Dunia nchini URUSI

Kuelekea michuano ya kombe la Dunia itakayofanyika nchini Urusi baadhi ya nchi washiriki wa kombe hilo wamekwisha taja vikosi vyao vitakavyo cheza katika michuano hiyo
Group A
Russia
Goalkeepers: Igor Akinfeev (CSKA Moscow), Vladimir Gabulov (Club Brugge), Soslan Dzhanaev (Rubin Kazan), Andrey Lunev (Zenit St Petersburg).
Defenders: Vladimir Granat, Ruslan Kambolov, Fedor Kudryashov (all Rubin Kazan), Ilya Kutepov (Spartak Moscow), Roman Neustadter (Fenerbahce), Konstantin Rausch (Dynamo Moscow), Andrey Semenov (Akhmat Grozny), Igor Smolnikov (Zenit St Petersburg), Mario Fernandes (CSKA Moscow).
Midfielders: Yuri Gazinskiy (Krasnodar), Alexsandr Golovin, Alan Dzagoev (both CSKA Moscow), Aleksandr Erokhin, Yuri Zhirkov, Daler Kuzyaev (all Zenit St Petersburg), Roman Zobnin, Alexsandr Samedov (both Spartak Moscow), Anton Miranchuk (Lokomotiv Moscow), Aleksandr Tashaev (Dynamo Moscow), Denis Cheryshev (Villarreal).
Forwards: Artem Dzyuba (Arsenal Tula), Aleksey Miranchuk (Lokomotiv Moscow), Fedor Smolov (Krasnodar), Fedor Chalov (CSKA Moscow).

Egypt 
Goalkeepers: Essam El Hadary (Al Taawoun), Mohamed El-Shennawy (Al Ahly), Sherif Ekramy (Al Ahly), Mohamed Awad (Ismaily).
Defenders: Ahmed Fathi (Al Ahly), Saad Samir (Al Ahly), Ayman Ashraf (Al Ahly), Mahmoud Hamdy (Zamalek), Mohamed Abdel-Shafy (Al Fateh), Ahmed Hegazi (West Brom), Ali Gabr (Zamalek), Ahmed Elmohamady (Aston Villa), Karim Hafez (RC Lens), Omar Gaber (Los Angeles FC), Amro Tarek (Orlando City).
Midfielders: Tarek Hamed, Mahmoud Abdel Aziz (both Zamalek), Shikabala (Al Raed), Abdallah Said (KuPS), Sam Morsy (Wigan Athletic), Mohamed Elneny (Arsenal), Kahraba (Al Ittihad), Ramadan Sobhi (Stoke City), Trezeguet (Kasimpasa), Amr Warda (Atromitos).
Forwards: Marwan Mohsen (Al Ahly), Ahmed Gomaa (Al Masry), Kouka (SC Braga), Mohamed Salah (Liverpool).

Group B



Morocco
Goalkeepers: Alireza Beiranvand (Persepolis), Seyed Hossein Hosseini (Esteghlal), Rashid Mazaheri (Zob Ahan), Amir Abedzadeh (Maritimo).
Defenders: Ramin Rezaeian (Ostende), Voria Ghafouri (Esteghlal), Steven Beitashour (Los Angeles FC), Seyed Jalal Hosseini (Persepolis), Mohammad Reza Khanzadeh (Padideh), Morteza Pouraliganji (Alsaad), Mohammad Ansari (Persepolis), Pejman Montazeri (Esteghlal), Seyed Majid Hosseini (Esteghlal), Milad Mohammadi (Akhmat Grozny), Omid Norafkan (Esteghlal), Saeid Aghaei (Sepahan), Roozbeh Cheshmi (Esteghlal).
Midfielders: Saeid Ezatolahi (Amkar Perm), Masoud Shojaei (AEK Athens), Ahmad Abdolahzadeh (Foolad), Saman Ghoddos (Ostersunds), Mahdi Torabi (Saipa), Ashkan Dejagah (Notthingham Forest), Omid Ebrahimi (Esteghlal), Ehsan Hajsafi (Olympiacos), Ali Karimi (Sepahan), Soroush Rafiei (Al Khor), Ali Gholizadeh (Saipa), Vahid Amiri (Persepolis).

Forwards: Alireza Jahanbakhsh (AZ Alkmaar), Karim Ansarifard (Olympiacos), Mahdi Taremi (Al Gharafa), Sardar Azmoun (Rubin Kazan), Reza Ghoochannejhad (Heerenveen), Kaveh Rezaei (Charleroi).

Group C



Australia 
Goalkeepers: Brad Jones (Feyenoord), Mitch Langerak (Nagoya Grampus), Mat Ryan (Brighton), Danny Vukovic (KRC Genk).
Defenders: Aziz Behich (Bursaspor), Milos Degenek (Yokohama F. Marinos), Alex Gersbach (RC Lens), Matthew Jurman (Suwon Samsung Blue Wings), Fran Karacic (NK Lokomotiva), James Meredith (Millwall), Josh Risdon (Western Sydney), Trent Sainsbury (Grasshopper Zurich), Aleksandar Susnjar (FK Mlada Boleslav), Bailey Wright (Bristol City).
Midfielders: Josh Brillante (Sydney FC), Jackson Irvine (Hull City), Mile Jedinak (Aston Villa), Robbie Kruse (VfL Bochum), Massimo Luongo (QPR), Mark Milligan (Al-Ahli), Aaron Mooy (Huddersfield), Tom Rogic (Celtic), James Troisi (Melbourne Victory).
Forwards: Daniel Arzani (Melbourne City), Tim Cahill (Millwall), Apostolos Giannou (AEK Larnaca), Tomi Juric (Luzern), Mathew Leckie (Hertha Berlin), Jamie Maclaren (Hibernian), Andrew Nabbout (Urawa Red Diamonds), Dimitri Petratos (Newcastle Jets), Nikita Rukavytsya (Maccabi Haifa).


Denmark 
Goalkeepers: Kasper Schmeichel (Leicester), Frederik Ronnow (Brondby IF), Jonas Lossl (Huddersfield), Jesper Hansen (FC Midtjylland).
Defenders: Simon Kjaer (Sevilla), Andreas Bjelland (Brentford), Mathias Jorgensen (Huddersfield), Andreas Christensen (Cheslea), Henrik Dalsgaard (Brentford), Jannik Vestergaard (Borussia Monchengladbach), Jens Stryger Larsen (Udinese), Jonas Knudsen (Ipswich), Nicolai Boilesen, Peter Ankersen (both FC Copenhagen), Riza Durmisi (Real Betis).
Midfielders: Christian Eriksen (Tottenham), Daniel Wass (Celta Vigo), Lasse Schone (Ajax), Lukas Lerager (Bordeaux), Mathias Jensen (Nordsjaelland), Michael Krohn-Dehli (Deportivo La Coruna), Mike Jensen (Rosenborg), Pierre-Emile Hojbjerg (Southampton), Thomas Delaney (Werder Bremen), William Kvist (FC Copenhagen).
Forwards: Andreas Cornelius (Atalanta), Kasper Dolberg (Ajax), Kenneth Zohore (Cardiff City), Martin Braithwaite (Bordeaux), Nicklas Bendtner (Rosenborg), Nicolai Jorgensen (Feyenoord), Pione Sisto (Celta Vigo), Robert Skov, Viktor Fischer (both FC Copenhagen), Yussuf Poulsen (RB Leipzig).

Group D

Argentina 
Goalkeepers: Sergio Romero (Manchester United), Nahuel Guzman (Tigres Monterrey), Wilfredo Caballero (Chelsea), Franco Armani (River Plate)
Defenders: Gabriel Mercado (Sevilla), Federico Fazio (Roma), Nicolas Otamendi (Manchester City), German Pezzella (Fiorentina), Ramiro Funes Mori (Everton), Marcos Rojo (Manchester United), Nicolas Taglafico (Ajax), Javier Mascherano (Hebei Fortune), Marcos Acuna (Sporting Lisbon), Eduardo Salvio (Benfica), Cristian Ansaldi (Torino).
Midfielders: Ever Banega, Guido Pizarro (Sevilla), Lucas Biglia (AC Milan), Leandro Paredes (Zenit Saint Petersburg), Angel Di María and Giovani Lo Celso (Paris Saint-Germain), Enzo Perez (River Plate), Manuel Lanzini (West Ham), Pablo Perez and Cristian Pavon (Boca Juniors), Maximiliano Meza (Independiente), Ricardo Centurion (Racing), Rodrigo Battaglia (Sporting Lisbon).
Forwards: Lionel Messi (Barcelona), Gonzalo Higuain and Paulo Dybala (Juventus), Mauro Icardi (Inter Milan), Sergio Aguero (Manchester City), Diego Perotti (Roma), Lautaro Martinez (Racing).
Iceland 
Goalkeepers: Hannes Halldorsson (Randers), Runar Alex Runarsson (Nordsjaelland), Frederik Schram (Roskilde).
Defenders: Ari Freyr Skulason (Lokeren), Hordur Magnusson (Bristol City), Ragnar Sigurdsson (Rostov), Kari Arnason (Aberdeen), Holmar Orn Eyjolfsson (Levski Sofia), Sverrir Ingi Ingason (Rostov), Birkir Mar Saevarsson (Valur), Samuel Kari Fridjonsson (Valerenga).
Midfielders: Gylfi Sigurdsson (Everton), Aron Gunnarsson (Cardiff City), Emil Hallfredsson (Udinese), Birkir Bjarnason (Aston Villa), Johann Berg Gudmundsson (Burnley), Olafur Ingi Skulason (Karabukspor), Arnor Ingvi Traustason (Malmo), Rurik Gislason (Sandhausen).
Forwards: Alfred Finnbogason (Augsburg), Bjorn Bergmann Sigurdarson (Rostov), Jon Dadi Bodvarsson (Reading), Albert Gudmundsson (PSV Eindhoven).
Croatia
Goalkeepers: Danijel Subasic (Monaco), Lovre Kalinic (Gent), Dominik Livakovic (Dinamo Zagreb), Karlo Letica (Hajduk Split).
Defenders: Vedran Corluka (Lokomotiv Moscow), Domagoj Vida (Besiktas), Ivan Strinic (Sampdoria), Dejan Lovren (Liverpool), Sime Vrsaljko (Atletico Madrid), Josip Pivaric (Dynamo Kyiv), Tin Jedvay (Bayer Leverkusen), Matej Mitrovic (Club Brugge), Borna Barisic (Osijek), Zoran Nizic (Hajduk Split), Duje Caleta-Car (Red Bull Salzburg), Borna Sosa (Dinamo Zagreb).
Midfielders: Luka Modric, Mateo Kovacic (both Real Madrid), Ivan Rakitic (Barcelona), Milan Badelj (Fiorentina), Marcelo Brozovic (Inter Milan), Marko Rog (Napoli), Mario Pasalic (Chelsea), Filip Bradaric (Hajduk Split).
Forwards: Mario Mandzukic (Juventus), Ivan Perisic (Inter Milan), Nikola Kalinic (AC Milan), Andrej Kramaric (Hoffenheim), Marko Pjaca (Schalke), Ante Rebic (Eintracht Frankfurt), Duje Cop (Standard Liege), Ivan Santini (Caen).
Nigeria 
Goalkeepers: Ikechukwu Ezenwa (Enyimba), Daniel Akpeyi (Chippa United), Francis Uzoho (Deportivo Fabril), Dele Ajiboye (Plateau United).
Defenders: William Ekong (Bursaspor), Leon Balogun (FSV Mainz), Olaoluwa Aina (Hull City), Kenneth Omeruo (Kasimpasa), Bryan Idowu (Amkar Perm), Chidozie Awaziem (Nantes), Abdullahi Shehu (Bursaspor), Elderson Echiejile (Cercle Brugge), Tyronne Ebuehi (Ado Den Haag), Stephen Eze (Lokomotiv Plovdiv).
Midfielders: Mikel John Obi (Tianjin Teda), Ogenyi Onazi (Trabzonspor), Wilfred Ndidi (Leicester), Oghenekaro Etebo (Las Palmas), John Ogu (Hapoel Be'er Sheva), Uche Agbo (Standard Liege), Joel Obi (Torino), Mikel Agu (Bursaspor).
Forwards: Ahmed Musa, Kelechi Iheanacho (both Leicester), Moses Simon (Gent), Victor Moses (Chelsea), Odion Ighalo (Changchun Yatai), Alex Iwobi (Arsenal), Junior Lokosa (Kano Pillars), Simeon Tochukwu Nwankwo (Crotone).

Group E

Brazil
Goalkeepers: Alisson (Roma), Ederson (Manchester City), Cassio (Corinthians).
Defenders: Danilo (Manchester City), Fagner (Corinthians), Marcelo (Real Madrid), Filipe Luis (Atletico Madrid), Thiago Silva (PSG), Marquinhos (PSG), Miranda (Inter Milan) Pedro Geromel (Gremio).
Midfielders: Casemiro (Real Madrid), Fernandinho (Manchester City), Paulinho (Barcelona), Fred (Shakhtar Donetsk), Renato Augusto (Beijing Guoan), Philippe Coutinho (Barcelona), Willian (Chelsea), Douglas Costa (Juventus).
Forwards: Neymar Jr (PSG), Taison (Shakhtar Donetsk), Gabriel Jesus (Manchester City), Roberto Firmino (Liverpool).


Costa Rica 
Goalkeepers: Keylor Navas (Real Madrid, Spain), Patrick Pemberton (Liga Deportiva Alajuelense), Leonel Moreira (Herediano);
Defenders: Cristian Gamboa (Celtic), Ian Smith (Norrkoping), Ronald Matarrita (New York City), Bryan Oviedo (Sunderland), Oscar Duarte (Espanyol), Giancarlo Gonzalez (Bologna), Francisco Calvo (Minnesota United), Kendall Waston (Vancouver Whitecaps), Johnny Acosta (Aguilas Dorados).
Midfielders: David Guzman (Portland Timbers), Yeltsin Tejeda (Lausanne-Sport), Celso Borges (Deportivo La Coruna), Randall Azofeifa (Herediano), Rodney Wallace (New York City), Bryan Ruiz (Sporting CP), Daniel Colindres (Saprissa), Christian Bolanos (Saprissa).
Forwards: Johan Venegas (Saprissa), Joel Campbell (Real Betis), Marco Urena (LAFC).

Group F


Mexico 
Goalkeepers: Guillermo Ochoa (Standard Liege), Alfredo Talavera (Toluca), Jesus Corona (Cruz Azul).
Defenders: Carlos Salcedo( Frankfurt), Nestor Araujo (Santos Laguna), Diego Reyes (Porto), Hector Moreno (Real Sociedad), Hugo Ayala (Tigres), Oswaldo Alanis (Guadalajara), Edson Alvarez (America), Jesus Gallardo (Pumas), Miguel Layun (Sevilla).
Midfielders: Jesus Molina (Monterrey), Rafael Marquez (Atlas), Hector Herrera (Porto), Jonathan Dos Santos (LA Galaxy), Andres Guardado (Real Betis), Erick Gutierrez (Pachuca), Marco Fabian (Frankfurt), Giovani Dos Santos (LA Galaxy).
Forwards: Javier Hernandez (West Ham), Raul Jimenez (Benfica), Oribe Peralta (America), Jesus Manuel Corona (Porto), Carlos Vela (Los Angeles FC), Javier Aquino (Tigres), Hirving Lozano (PSV Eindhoven), Jurgen Damm (Tigres).

South Korea 
Goalkeepers: Kim Seung-gyu (Vissel Kobe), Kim Jin-hyeon (Cerezo Osaka), Cho Hyeon-woo (Daegu FC).
Defenders: Kim Young-gwon (Guangzhou Evergrande), Jang Hyun-soo (Tokyo FC), Jeong Seung-hyeon (Sagan Tosu), Yun Yeong-seon (Seongnam FC), Kwon Kyung-won (Tianjin Quanjian), Oh Ban-suk (Jeju Utd), Kim Jin-su (Jeonbuk Hyundai), Kim Min-woo (Sangju Sangmu), Park Joo-ho (Ulsan Hyundai), Hong Chul (Sangju Sangmu), Go Yo-han (FC Seoul), Lee Yong (Jeonbuk Hyundai).
Midfielders: Ki Sung-yueng (Swansea City), Jeong Woo-young (Vissel Kobe), Kwon Chang-hoon (Dijon FCO), Ju Se-jong (Asan Mugunghwa), Koo Ja-cheol (Augsburg), Lee Jae-sung (Jeonbuk Hyundai), Lee Seung-woo (Hellas Verona), Moon Sun-min (Incheon Utd), Lee Chung-yong (Crystal Palace).
Forwards: Kim Shin-wook (Jeonbuk Hyundai), Son Heung-min (Tottenham), Hwang Hee-chan (Red Bull Salzburg), Lee Keun-ho (Gangwon FC).

Group G


Panama 
Goalkeepers: Jose Calderon (Chorrillo), Jaime Penedo (Dinamo Bucharest), Alex Rodriguez (San Francisco).
Defenders: Azmahar Ariano (Patriots), Felipe Baloy (Municipal CSD), Harold Cummings (San Jose Earthquakes), Eric Davis (Dunajska Streda), Fidel Escobar (New York Red Bulls), Adolfo Machado (Houston Dynamo), Michael Murillo (New York Red Bulls), Luis Ovalle (Olimpia), Francisco Palacios (San Francisco), Richard Peralta (Alliance), Roman Torres (Seattle Sounders).
Midfielders : Ricardo Avila (Gent), Edgar Barcenas (Cafetaleros de Tapachula), Ricardo Buitrago (Municipal), Miguel Camargo (San Martin de Porres University), Adalberto Carrasquilla (Tauro), Armando Cooper (University Club of Chile), Anibal Godoy (San Jose Earthquakes), Gabriel Gomez (Bucaramanga), Jose Gonzalez (Union Commerce), Cristian Martinez (Columbus Crew), Valentin Pimentel (Plaza Amador), Alberto Quintero (University of Lima), Jose Luis Rodriguez (KAA Gent).
Forwards: Abdiel Arroyo (Alajuelense), Rolando Blackburn (Chorrillo), Ismael Diaz (Deportivo la Coruna), Jose Fajardo (Independiente), Roberto Nurse (Mineros Zacatecas), Blas Perez (Municipal), Luis Tejada (Sports Boys), Gabriel Torres (CD Huachipato).
Tunisia (final 23 to be confirmed)
Goalkeepers: Aymen Mathlouthi (Al-Baten), Moez Ben Cherifia (ES Tunis), Farouk Ben Mustapha (Al-Shabab), Moez Hassen (Chateauroux).
Defenders: Rami Bedoui (ES Sahel), Yohan Benalouane (Leicester City), Syam Ben Youssef (Kasimpasa), Dylan Bronn (Gent), Khalil Chammam (ES Tunis), Oussama Haddadi (Dijon) , Ali Maaloul (Al-Ahly), Yassine Meriah (CS Sfaxien), Hamdi Nagguez (Zamalek), Bilel Mohsni (Dundee United).
Midfielders: Mohamed Amine Ben Amor (Al-Ahli SC), Sai-Eddine Khaoui (Troyes), Ahmed Khalil (African Club), Ellyes Skhiri (Montpellier), Ferjani Sassi (Al-Nasr), Ghaylene Chaalali (ES Tunis), Mohamed Wael Larbi (Tours), Karim Laribi (Cesena).
Attackers: Anice Badri (ES Tunis), Fakhreddine Ben Youssef (Al-Ittifaq), Naim Sliti (Dijon), Bassem Srarfi (Nice), Ahmed Akaichi (Al-Ittihad), Wahbi Khazri (Rennes), Saber Khalifa (African Club).
England

Group H

Poland (final 23 to be confirmed)
Goalkeepers : Bartosz Bialkowski (Ipswich), Lukasz Fabianski (Swansea City), Lukasz Skorupski (Roma), Wojciech Szczesny (Juventus).
Defenders : Jan Bednarek (Southampton), Bartosz Bereszynski (Sampdoria), Thiago Cionek (SPAL), Kamil Glik (Monaco), Artur Jedrzejczyk (Legia Warsaw), Marcin Kaminski (Stuttgart), Tomasz Kedziora (Dynamo Kyiv), Michal Pazdan (Legia Warsaw), Lukasz Piszczek (Borussia Dortmund).
Midfielders : Jakub Blaszczykowski (Wolfsburg), Pawel Dawidowicz (Palermo), Przemyslaw Frankowski (Jagiellonia Bialystok), Jacek Goralski (Ludogorets Razgrad), Kamil Grosicki (Hull City), Damian Kadzior (Gornik Zabrze), Grzegorz Krychowiak (Paris St-Germain), Rafal Kurzawa (Gornik Zabrze), Karol Linetty (Sampdoria), Maciej Makuszewski (Lech Poznan), Krzysztof Maczynski (Legia Warsaw), Slawomir Peszko (Lechnia Gdansk), Maciej Rybus (Lokomotiv Moscow), Sebastian Szymanski (Legia Warsaw), Piotr Zielinski (Napoli), Szymon Zurkowski (Gornik Zabrze).
Forwards : Dawid Kownacki (Sampdoria), Robert Lewandowski (Bayern Munich), Arkadiusz Milik (Napoli), Krzysztof Piatek (Cracovia), Lukasz Teodorczyk (Anderlecht), Kamil Wilczek (Brondby).
Senegal

Goalkeepers: David Ospina (Arsenal), Camilo Vargas (Deportivo Cali), Iván Arboleda (Banfield), Jose Fernando Cuadrado (Once Caldas)
Defenders: Cristian Zapata (Milan), Dávinson Sanchez (Tottenham), Santiago Arias (PSV Eindhoven), Oscar Murillo (Pachuca), Frank Fabra (Boca Juniors), Johan Mojica (Girona), Yerry Mina (Barcelona), William Tesillo (Santa Fe), Bernardo Espinosa (Girona), Stefan Medina (Monterrey), Farid Díaz (Olimpia)
Midfielders: Wílmar Barrios (Boca Juniors), Carlos Sánchez (Espanyol), Jefferson Lerma (Levante), Jose Izquierdo (Brighton), James Rodríguez (Bayern Múnich), Giovanni Moreno (Shanghai Shenhua), Abel Aguilar (Deportivo Cali), Mateus Uribe (América), Yimmi Chara (Junior), Juan Fernando Quintero (River Plate), Edwin Cardona (Boca Juniors), Juan Guillermo Cuadrado (Juventus), Gustavo Cuellar (Flamengo), Sebastian Perez (Boca Juniors)
Forwards: Radamel Falcao García (Monaco), Duvan Zapata (Sampdoria), Miguel Borja (Palmeiras), Carlos Bacca (Villarreal), Luis Fernando Muriel (Sevilla), Teofilo Gutierrez (Junior)