Jumamosi, 14 Aprili 2018

Dondoo za michezo barani ulaya

ad300
Advertisement


Gareth Bale hakufurahia kutolewa wakati wa mapumziko katika mechi ya robo fainali ya Real Madrid nyumbani dhidi ya Juventus lakini mshambuliaji huyo wa Wales mwenye umri wa miaka 28 anataka kusalia katika klabu hiyo ya La Liga.(Mail)

Kiungo wa kati wa Manchester United Ander Herrera  bado hajui iwapo atasaini mkataba mpya katika uwanja wa Old Traford.

Mchezaji huyo ambae ni Raia wa hispania mwenye umri wa miaka 28 ana kandarasi na klabu hiyo ya ligi ya Uingereza hadi 2019. (Mundo Deportivo - in Spanish)

Tottenham na West Ham wanawania kumsajili kiungo wa kati wa Barcelona mwenye umri wa miaka 24 Andre Gomes. (Sport)

Everton inataka kumsajili kiungo wa kati wa Nantes na UfaransaKamal Bafounta. (L'Equipe - in French)

West Ham inataka kumsajili kiungo wa kati wa Chelsea mwenye umri wa miaka 28 danny drink water ambaye alijiunga na the Blues kwa kitita cha £35m msimu uliopita (Telegraph)

Kocha wa Barcelona Ernesto Valverde amemtetea nyota wa klabu hiyo Lionel Messi baada ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30 kukosolewa baada ya timu hiyo kubanduliwa katika kombe la vilabu bingwa barani ulaya

Pia alikana kukosana na beki wa klabu hiyo Gerard Pique, 31, baada ya mechi dhidi ya Roma.

Manchester United  huwenda wakatumia uwanja wa Ethihad iwapo mipango wa kuurekebisha uwanja wa Old trafford  utafanyika. (Sun)

Mkufunzi wa Manchester City Pep Guardiola anasema kuwa Chelsea na Manchester United ziliongoza mpango wakuanza kutumia teknolojia ya video ya VAR katika ligi ya Uingereza msimu ujao.. (Mirror)

Mkufunzi wa Chelsea Antonio Conte anasema kuwa hapaswi kulaumiwa kufuatia matokeo mabaya ya klabu hiyo kwa kuwa makosa yamfanywa na kila mtu katika klabu hiyo". (Mirror)

Hatma ya mkufunzi wa Arsenal Arsene katika klabu hiyo huenda ikategemea na kikosi chake iwapo kitashinda dhidi ya klabu ya kaytika katika nusu fainali ya kombe la Europa (Telegraph)

Mshambuliaji wa Arsenal Alexandre Lacazette, 26, anaamini kwamba ushindi wa kombe la ligi ya Europa kutaisadia msimu wa Arsenal na kunedeleza uongozi wa Wenmhger katika klabu hiyo.

Share This
Previous Post
Next Post

Pellentesque vitae lectus in mauris sollicitudin ornare sit amet eget ligula. Donec pharetra, arcu eu consectetur semper, est nulla sodales risus, vel efficitur orci justo quis tellus. Phasellus sit amet est pharetra

0 maoni: