![]() |
Advertisement |
Watu wasiopungua 181 wamefariki Dunia nchini Algeria baada ya ndege ya kijeshi kuanguka karibu na kituo chandege cha Boufarik nje ya mji mkuu wa Algiers
Taarifa zinaeleza kuwa ndege hiyo ilikuwa inaelekea Mji wa Bechar uliopo magharibi mwa Aligeria ilikuwa imebeba vikosi vya wanajeshi vya takribani watu 20 kila kimoja
Hii ni ajali mbaya ya ndege kuwahi kutokea nchini Algeria tangu mwaka 2003 ambapo ndege ilianguka katika uwanja wa Tamanrasset muda mfupi baada ya kuruka na kuua watu 102
0 maoni: