![]() |
| Advertisement |
Askofu Mkuu wa Kanisa la Full
Gospel Bible Fellowship (FGBF), Zachary Kakobe amesema kuwa, Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam imemwita kwa ajili ya mahiojiano Aprili 9, 2018.
Askofu Kakobe hajaeleza sababu za wito huo, lakini amesema atakwenda kama alivyotakiwa.


0 maoni: