![]() |
Advertisement |
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi (TSNP), Abdul Nondo amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Iringa na kusomewa makosa mawili ya kutoa taarifa za uongo mitandaoni na kudanganya kutekwa,
Hakimu asema hawezi kumpa dhama kwa usalama wake.
Dhamana ya Abdul Nondo itatazamwa Jumatatu juma lijalo baada ya hakimu kuomba kusoma sheria inasemaje juu ya kuzuiwa dhamana kwake hivyo amesema Jumatatu itajulikana kama kuna kupewa dhamana ama lah. Kafanya hivyo(kutompa dhamana) kwa usalama wa mshtakiwa (Nondo) kwani watekaji wapo mitaani wanasakwa bado.
Shauri limeahirishwa na mtuhumiwa kupelekwa rumande.
0 maoni: