Alhamisi, 1 Machi 2018

Uchaguzi wa serikali ya wanafunzi wapelekea vurugu

ad300
Advertisement


Shule ya sekondari Nyamungo imelazimika kufungwa kwa muda  baada ya vurugu zilizotokea katika uchaguzi wa serikali ya wanafunzi shuleni hapo

Mwanafunzi mmoja mtukutu alitumia karatasi ya kupiga kura kuandika matusi na kukejeli walimu na wanafunzi wa shule hiyo uongozi wa shule ulimtafuta mwanafunzi huyo na  kubaini mwandiko wa mwanafunzi aliyefanya kitendo hicho na kumpata baadae kumfukuza shule.

Wanafunzi hawakukubaliana na uwamuzi wa uongozi wa shule hiyo na ndipo vurugu zilipoanza.vurugu hizo zimesababisha kuharibu ofisi ya mwalimu wa nidhamu na ofisi ya mkuu wa shule

Mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro amechukua uamuzi wa kuifunga shule hiyo kwa muda ili kuepusha hasara zaidi

Share This
Previous Post
Next Post

Pellentesque vitae lectus in mauris sollicitudin ornare sit amet eget ligula. Donec pharetra, arcu eu consectetur semper, est nulla sodales risus, vel efficitur orci justo quis tellus. Phasellus sit amet est pharetra

0 maoni: