Jumanne, 13 Machi 2018

Auwawa kwa kufanya mapenzi na ng'ombe

ad300
Advertisement

Nchini Kenya kijana ailiyetambulika kwa jina la Joseph Koech mwenye umri wa miaka 25 ameuawa kwa kushambuliwa na Wananchi baada ya kukutwa akifanya mapenzi na Ng'ombe

Kijana huyo alijitetea kuwa alilazimika kufanya hivyo kwasababu anawaogopa Wasichana kwakua wengi wana UKIMWI. Kijana huyo anadaiwa kumfunga miguu na pembe Ng'ombe huyo kabla ya kuanza kumuingilia.

Aliwasihi watu hao wasimuue wamuache alipe gharama za kosa hilo kwa kutoa kipande chake cha ardhi lakini ombi lake halikusikilizwa

Kutokana na kuvuja damu nyingi alifariki mara baada ya kufikishwa Hospitali ya Eldama

Share This
Previous Post
Next Post

Pellentesque vitae lectus in mauris sollicitudin ornare sit amet eget ligula. Donec pharetra, arcu eu consectetur semper, est nulla sodales risus, vel efficitur orci justo quis tellus. Phasellus sit amet est pharetra

0 maoni: