![]() |
| Advertisement |
Mbunge TunduLissu akiwa na mkewe katika mitaa ya Jiji la Brussels nchini Ubelgiji. Akifanya mazoezi madogo madogo mtaani ili kuendelea kuimarisha zaidi Afya yake
Lissu alijeruhiwa kwa kupigwa risasi Septemba mwaka jana huko mjini Dodoma akiwa katika shughuli za bunge
Alipatiwa matibabu ya awali katika hospali ya mkoa wa Dodoma kabla ya kufikisha Nairobi Kenya ambapo alipatiwa matibabu kamili na baadae kwenda ubelgiji kumalizia matibabu yake


0 maoni: