![]() |
Advertisement |
Mtangazaji nguli nchini Tanzania Zamaradi mketema amejiunga na chombo kipya cha utangazaji Maarufu kama Wasafi tv kinachosimamiwa na Mwanamziki wa bongoflava nchini Tanzania Naseeb abdul Maarufu kama diamond platnumz kupitia ukurasa wa Instagram wa Msanii harmonize anayesimamiwa na wasafi ameposti picha akiwa na zamaradi kisiwani Zanzibar huku akiwa ameandika maneno ya kumkaribisha katika chombo hicho cha habari
LET'S GO MAMA JUJU 🌍 WELCOME TO THE FAMILY @zamaradimketema 🦅🦅 @wasafitv @wasafifm
Aliandika harmonize
Msimamizi wa chombo hichi cha habari diamond platnums yupo Zanzibar kwa sasa akitafuta vipaji vya kutangaza maarufu kama "wasafi tv presenters search" itakayofanyika Ngome kongwe Zanzibar Siku ya jumanne
0 maoni: