![]() |
Advertisement |
Klabu kinara katika ligi ya uingereza Manchester city imeichapa Asernal mabao matatu kwa bila wakiwa katika uwanja wao wa nyumbani wa Wembley
Goli la kwanza la Manchester city lilipachikwa kimyani na mshambuliaji
Sergio Aguero dakika ya 18 huku mchezaji Claudio Bravo akitoa msaada mkubwa katika kupatikana kwa goli hill
Mkwaju wa pili ulipachikwa na mchezaji kampany kabla ya Davidi Silva kupigilia Msumari wa tatu na wa mwisho dakika ya 65 ushindi wa Leo unawaweka zaidi kileleni Manchester city huku wakifuatiwa na Majirani zao Manchester united katika nafasi ya pili ya ligi kuu England
0 maoni: