![]() |
| Advertisement |
Klabu ya soka ya yanga Leo imeondoka na ushindi wa goli mbili kwa moja katika uwanja wa nangwanda sijaona mtwara katika mchezo dhidi ya wenyeji wao Ndanda fc katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara vpl
Akiiongoza klabu ya yanga katika ushindi huo mchezaji Pius buswita ndiye aliyekuwa wakwanza kupachika bao dakika za mwanzoni kabisa za mchezo na baada ushindi huo ukaongezewa Nguvu na Hassanj kessy na kipindi cha kwanza yanga alikua anaongoza bao mbili
Kipindi cha pili Ndanda waliongeza kasi ambapo walifanikiwa kurudisha goli moja dakika ya 44 lililofungwa na Mchezaji N. Kapama
Matokeo haya yanaiimarisha klabu ya yanga buku ikisalia nafasi ya pili katika msimamo wa ligi kwa pointi 40 nyuma ya vinara wa ligi hiyo simba wenye point 45 buku Ndanda wakiwa nafasi ya 13 kwa point 18


0 maoni: