Jumatano, 28 Februari 2018

Zitto Mtatiro walalamika akaunti zao kuvamiwa

ad300
Advertisement

Mbunge wa Kigoma Mjini zitto Zuberi kabwe   na Mwanasiasa Julias Mtatiro wamesema kumefanyika majaribio ya kudukua Barua Pepe zao na Akaunti zao za mitandao ya kijamii.zitto ameeleza hayo kupitia  ukurasa wake wa Twitter na
Amesema majaribio hayo hayajafanikiwa.

"There  have been attempts to hack into my emails and other social media accounts. People should be wary if they see strange posts from any of my accounts ( twitter, Facebook and an idle instagram account ). So far everything is under control as last attempt was at 16:47. Aborted"

Nae Julia's Mtatiro kupitia ukurasa wake wa Facebook ameeleza kutokea kwa jaribio la kuvamia account zake za mtandao ya kijamii lakini uvamizi huo haukuwezekana kupitia mtandao wake wa Facebook Mtatiro Amesema

Ndugu zangu, jana kulikuwa na majaribio matatu ya kuvamia akaunti yangu ya FB. Leo kulikuwa na majaribio 12 ya kuzivamia akaunti zangu 4, nikiwa safarini jioni hii nilistukia nashindwa kufungua "yahoo box". Wataalamu wamenisaidia kuwafuatilia wavamizi hao, wako wanne, mmoja hana IP address, watatu wamegawanyika, mmoja yuko Mikocheni, wawili wako Posta. Nadhani hii ni kazi maalum, kwamba watu wanne wanang'ang'ana kuchukua udhibiti wa akaunti za mtu wa kawaida tu, ili iweje? Yani TBC na Magazeti yenu yote yale haviwatoshi?

Share This
Previous Post
Next Post

Pellentesque vitae lectus in mauris sollicitudin ornare sit amet eget ligula. Donec pharetra, arcu eu consectetur semper, est nulla sodales risus, vel efficitur orci justo quis tellus. Phasellus sit amet est pharetra

0 maoni: