![]() |
| Advertisement |
Mbunge wa chalinze Mheshimiwa Ridhiwani kikwete leo tarehe 28 februaryy 2018 amezindua ofisi katika kata ya Kimange Chalinze.
Ridhiwani amesema kuwa wamefanikiwa kuzungumza na wananchi na kutatua kero mbalimbali zinazo wakabili hasa jamii za wakulima na wafugaji
Tumeongea na Wananchi juu tulivyofanikiwa kutatua migogoro ya Wakulima na Wafugaji, Elimu, Afya, Mazingira, Miundombinu ya Barabara, Changamoto ya Maji nk. Nawashukuru kwa ushirikiano mnaonipa.


0 maoni: