![]() |
Advertisement |
Klabu ya soka ya yanga yenye maskani yake Jangwani jijini Dar es salaam Leo inashuka dimbani katika uwanja wa majimaji kuvaana na majimaji katika mchezo wa Azam sport federation cup
Yanga inashuka dimbani kusaka hatua ya kusonga mbele katika michuano hiyo....na hichi ndicho kikosi kamili
0 maoni: