Jumatatu, 9 Aprili 2018

Wachezaji wanne waondolewa Njombe mji

ad300
Advertisement

Breaking newz
Leo tarehe 9.4.2018 timu ya njombe mji imewaondoa kwenye msafara wa timu wachezaji wa4 kutokana na utovu mkubwa wa nidhamu waliouonyesha katika timu.
Wachezaji hao wameamriwa kurudi njombe na kusubiri uamuzi mwingine baada ya timu kurejea kutoka katika michezo yake iliyobaki.
Wachezaji walioondolewa ni
David Kissu
Awadh Salum
Peter Mwangosi
Joshua John
Hawa hawataendelea na safari kuelekea Mwanza na Dar.

Taarifa hizi za utovu wa nidhamu hazihusiani na matokeo ya michezo iliyopita.

Tuwaombe wananjombe kuendelea kuiunga mkono timu katika kipindi hiki kigumu.

Aluetacontinue mapambano bado yanaendelea.

Imetolewa na
Hassan Macho
Afisa habari
Njombe mji

Share This
Previous Post
Next Post

Pellentesque vitae lectus in mauris sollicitudin ornare sit amet eget ligula. Donec pharetra, arcu eu consectetur semper, est nulla sodales risus, vel efficitur orci justo quis tellus. Phasellus sit amet est pharetra

0 maoni: