Jumatatu, 9 Aprili 2018

Mashindano ya kuwabeba Wanawake yafanyika nchini uingereza

ad300
Advertisement

Wanandoa Kutoka Sehemu Mbalimbali Ulimwenguni Wamejitokeza  Kushiriki Katika Shindano La Kumi Na Mbili La Kuwabeba Wake Zao Lijulikanalo Kama UK Wife Carrying Race Linalofanyika Kila Mwaka.

Chris Hepworth, Akiwa Amembeba Tanisha Prince Kutoka West Drayton, London, Alikimbia Na Kuibuka Mshindi Wa Mbio Za Umbali Wa Mita 380 Na Waandaaji Wanasema Mashindano Hayo Yalianza Mwezi June Mwaka 793 AD.

Washindani Walikimbia Umbali Wa Mita 15 Kupandisha Kwenye Mwinuko Na Kushuka Ambapo Wameeleza Kuwa Ni Kazi Ngumu Lakini Kanuni Rahisi Zaidi Ni Kuwa Washindani Si Lazima Wawe Na Ndoa Lakini Angalau Wawe Marafiki.

Sheria Inasema Wenza Wawe Na Zaidi Ya Miaka 18 Na Uzito Wa Kilo 50 Na Kuna Adhabu Ikiwa Utamuangusha Mwenza Wako, Ikiwa Uzito Ni Chini Ya Kilo 50 Aliyembeba Analazimika Kubeba Furushi Lenye Vikopo Ili Kuongezea Uzito.

Mshindi Anasema Kupanda Mlima Ilikuwa Rahisi Kuliko Kuteremka. Mshindi Alipata Pipa La Bia Na Mtu Wa Mwisho Alipewa Tambi Na Chakula Cha Mbwa.

Share This
Previous Post
Next Post

Pellentesque vitae lectus in mauris sollicitudin ornare sit amet eget ligula. Donec pharetra, arcu eu consectetur semper, est nulla sodales risus, vel efficitur orci justo quis tellus. Phasellus sit amet est pharetra

0 maoni: