![]() |
| Advertisement |
Wahadhiri wa Vyuo Vikuu vya umma wameanza mgomo kwa kile wanachosema, Serikali imeshindwa kutekeleza mkataba wa kuwaongezea mshahara kama walivyokubaliana mwaka uliopita.
Mgomo huu utasababisha zaidi ya wanafunzi Laki 6 kurudi nyumbani kwa kukosa walimu.


0 maoni: