![]() |
Advertisement |
Raisi wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufulii amtambulisha Mzee Jumanne Ngoma, mgunduzi wa madini ya Tanzanite, aahidi kumpatia Sh milioni 100 kwa ajili ya kujitibia ugonjwa unaomsumbua
Rais Magufuli akizungumza katika uzinduzi wa ukuta katika mgodi wa Tanzanite raisi Magufuli amesema
"Huyu mzee sifahamu kama yupo hapa, niliagiza aje hapa nimtambulishe na Tanzania ikujue, na historia ibaki Tanzania kuwa wewe ndiye mvumbuzi wa Tanzanite."
0 maoni: