![]() |
Advertisement |
Mamlaka ya Mawasiliano Roskomnadzor yafungua kesi ikitarajia kuruhusiwa kuufungia na kuupiga marufuku mtandao wa Telegram nchini Urusi
Serikali ya Rais Putin tangu mwaka 2017 haina furaha baada ya waendeshaji wa mtandao wa Telegram kugoma kujisajili kama watoa huduma ya mawasiliano
Telegram na Serikali ya urusi wamekwaruzana mara kadhaa kutokana na Serikali ya Rais Putin kutaka kuwa na uwezo wa kuingilia mawasiliano ya Telegram
Hatimaye leo Roskomnadzor wamefungua kesi kutaka mtandao wa Telegram ufurushwe nchini humo kwa kushindwa kutii mamlaka na kutoa ushirikiano.
0 maoni: