Jumanne, 20 Machi 2018

Diamond platnumz amjibu Naibu waziri

ad300
Advertisement

Baada ya Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Juliana Shonza kukataa kumjibu Diamond, msanii huyo ameibuka tena yakiwa ni masaa takribani 23 yamepita tangu alipomjia juu kupitia kipindi cha The Playlist.

Diamond ameonekana kukerwa na majibu ya Naibu Wazri Shonza ambayo amekuwa akiyatoa kuhusu kufungia nyimbo za wasanii bila ya kuwapa taarifa sahihi na kuamua kumjibu kwa mara nyingine kupitia mtandao wa Twitter.

Kupitia mtandao wa huo Diamond ameandika:

Swala la Barua Unalijua leo baada ya Kukosa Point sahihi?
Ungekuwa unajua kama taratibu sahihi ni Kuandika Barua, Mbona hukuwatumia pia Wasanii barua zakuwa unafungia kazi zao?… kwakuwa Uliyapeleka Social Media na Radio, nami nikakupelekea huko ili uenjoy Zaidi…❤

Share This
Previous Post
Next Post

Pellentesque vitae lectus in mauris sollicitudin ornare sit amet eget ligula. Donec pharetra, arcu eu consectetur semper, est nulla sodales risus, vel efficitur orci justo quis tellus. Phasellus sit amet est pharetra

0 maoni: