![]() |
Advertisement |
Mwenyekiti wa Mtandao wa Kudai Haki za Wanafunzi (TSNP) Abdul Nondo amepandishwa mahakama ya wilaya ya Iringa muda huu
Akizungumza mda huu, mmoja wa Mawakili wa Nondo, Jones Sendodo ambaye yupo Dar es Salaam, amesema jana walipata taarifa kuwa mteja wao atapelekwa Mahakamani leo ila hawakujua kama itakuwa ni Dar es Salaam au Iringa,
Sendodo amesema sasa hivi (saa nne asubuhi) Nondo amepandishwa Kizimbani kujibu mashitaka ambayo tutawaletea baada ya shauri hilo.
0 maoni: