![]() |
Advertisement |
Klabu ya soka ya yanga Leo imesinda goli mbili kwa moja dhidi ya Majimaji katika mchezo wa kombe la shirikisho
Yanga ilijipatia goli lake la kwanza kupitia kwa mchezaji Pius buswita na huku lile la pili likifungwa na mshambuliaji Emmanuel Martin.wakati goli la kufutia machozi la majimaji likifungwa na Jaffer Mohammed
Timu ya yanga inaungana na timu zingine ambazo ni
Njombe mji fc
Singida united
Na Mtibwa sugar
Katika hatua inayofuata ya kombe hilo
0 maoni: