![]() |
| Advertisement |
Treni ya abiria iliyokuwa ikisafiri kutoka Tabora kwenda Kigoma, imeanguka mchana huu katika eneo la kati ya stesheni ya Malagarasi na Uvinza.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma Ferdinand Mtui amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo. Na hadi sasa hakuna majeruhi wala Vigo vilivyoripotiwa katika ajari hiyo kamanda wa polisi Ferdinand Mtui amesema atatoa taarifa zaidi pindi atakapowasili katika eneo la tukio


0 maoni: