![]() |
Advertisement |
Klabu ya soka ya simba yenye maskani take msimbazi kariako wameendeleza mbio za ushindi katika ligi kuu soka Tanzania bara ambapo Leo katika uwanja wa Jamhuri walikuwa wakikipiga na Mtibwa sugar ya Morogoro
Goli la Mapema la Emmanuel Okwi Dakika 23 ya mchezo linaipa Simba ushindi dhidi ya Mtibwa Sugar Fc,Mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara.Mtibwa Sugar 0-Simba 1
Bonyeza hapa kuliona goli la okwi
https://youtu.be/Yyg9d79w95E
0 maoni: