![]() |
| Advertisement |
Jeshi la Polisi nchini Zimbabwe limeanza uchunguzi wa biashara haramu ya meno ya tembo ambayo inamhusisha mke wa rais wa zamani wa nchi hiyo, Grace Mugabe.
Anatarajiwa kuhojiwa siku chache zijazo na anatuhumiwa kupanga njama za kusafirisha meno hayo kwa meli kwenda nje ya nchi.
Hivi karibuni mke wa Robert Mugame amekabiliwa na Misukosuko Mbalimbali Toka Mumewe aondolewe Madarakani


0 maoni: