![]() |
| Advertisement |
Leo saa moja asubuhi umezuka moto katika soko la Mbagala Rangi 3. Sehemu iliyoathirika zaidi ni ya wauza mitumba. Imefika gari ya jeshi la zima moto na kuzima moto huo bila mbaka sasa hakuna aliyeripotiwa kujeruhiwa wala kupoteza maisha
Chanzo cha moto huo inadhaniwa ni hitilafu ya umeme.
Tutaendelea kukujuza pindi tutakapo pata taarifa zaidi


0 maoni: