Jumatatu, 5 Machi 2018

Mbowe sasa Aruhusiwa

ad300
Advertisement

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya KCMC mkoani Kilimanjaro, akisumbuliwa na maumivu makali ya kichwa, ameruhusiwa kutoka baada ya madaktari kujiridhisha na afya yake iliyorejea katika hali ya kawaida.

Freeman Mbowe alifikishwa katika hosptali hiyo jaana baada ya kuzidiwa ghafla

Share This
Previous Post
Next Post

Pellentesque vitae lectus in mauris sollicitudin ornare sit amet eget ligula. Donec pharetra, arcu eu consectetur semper, est nulla sodales risus, vel efficitur orci justo quis tellus. Phasellus sit amet est pharetra

0 maoni: