![]() |
Advertisement |
Klabu ya soka ya Manchester united Leo imeonesha ubabe wake katika uwanja wa nyumbani wa old Trafford Mara baada ya kuichapa Chelsea mabao mawili kwa moja na kuiacha timu hiyo ikiwa nafasi ya nne huku Manchester united ikikwea hadi nafasi ya pili katika msimamo wa ligi kuu nchini Uingereza
Chelsea ilikua ya kwanza kupata goli kipindi cha kwanza kupitia mchezaji wao Wilian dakika ya 32. Lakini goli hilo halikudumu na Manchester united kurudisha kupitia mshambuliaji R.Lukaku dakika ya 39
Manchester united iliongeza bao la pili katika dakika ya 75 goli lililopachikwa na mshambuliaji wao J.Lingard
Manchester united inapanda hadi nafasi ya pili katika harakati za kusaka ubingwa wa ligi hiyo
0 maoni: